Serikali ya DRC leo inatarajiwa kutiwa saini makubaliano ya amani na kundi la waasi la FRPI katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki ya nchi hiyo. Naibu waziri mkuu ambae pia ni waziri wa mambo ya ndani ndiye ataiwakilisha serikali ya Congo katika sherehe hiyo leo Ijumaa