DRC: Ugonjwa wa Sotoka waua mbuzi kwenye jimbo la Bandundu
8 Juni 2012Matangazo
Kwa mujibu wa shirika la Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO, ugonjwa huo uliojitokeza miezi mitatu sasa, umesambaa hadi katika majimbo jirani ya Equateur na Bas-Congo. Shirika la FAO limesema kufariki kwa wanyama hao ni pigo kubwa kwa wananchi wa maeneo hayo ambao uchumi wao unatokana hasa na ufugo wa mbuzi. Taarifa kamili mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo
(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman