DRC: Wabunge kutoridhishwa na hali ya usalama Kivu
5 Juni 2012Matangazo
Wabunge hao waliitisha kikao maalumu cha bunge na kuwahoji mawaziri wa ulinzi na usalama kuhusu hali ya kiusalama huko kivu.Baadhi ya wabunge wa Kongo wametishia kuwapigia kura ya kutokuwa na imani na mawaziri hao kutokana na kutoridhishwa na majibu yao kuhusu hali ya usalama Kivu.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo
(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Othman Miraji