1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC yatangaza janga la homa ya manjano

Saleh Mwanamilongo20 Juni 2016

Serikali ya Congo imetangaza janga la mripuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini humo. Ungonjwa huwo tayari umeshaathiri watu 67 na watano wamepoteza maisha. Asilimia 95 ya wagonjwa wanaaminika kutokea nchi jirani ya Angola.

https://p.dw.com/p/1JABd