DRC:Waziri Mkuu Matata Mponyo amaliza ziara yake mashariki mwa Kongo
11 Juni 2012Matangazo
Katika ziara yake mkoani Kivu ya kaskazini, alithibitisha uungwaji mkono wa Rwanda kwa waasi wa M23. Matamshi yanayokanushwa na waasi hao. Nalo jeshi la Umoja wa mataifa likiwa linaunga mkono jeshi la DRC katika operesheni dhidi ya waasi, waasi
hao wamelitahadharisha jeshi hilo, kuwa litashambuliwa ikiwa
litakanyaga kwenye ardhi chini ya uongozi wao.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Saumu Yusuf