Bayern wamaliza mzunguko wa kwanza wa msimu wakiwa kileleni mwa ligi licha ya ushindani kutoka kwa mabingwa watetezi Leverkusen //
Mbappe sasa asema ni wakati wa kuonesha umahiri wake baada ya kipindi kigumu katika klabu yake mpya ya Real Madrid //
Nchini England, Liverpool yapepea wakati mahasimu wa Manchester wakiendelea kuona vimulimuli