1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Elimu ya kiufundi kwa watoto wenye ulemavu

31 Januari 2022

Wakati shule nchini Uganda zikianza tena kuwakaribisha wanafunzi baada ya kufungwa kutokana na janga la Covid-19, wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameanza kutoa elimu ya kiufundi kwa watoto wenye ulemavu wa kutosikia.

https://p.dw.com/p/46Jfj