1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ethiopia yafungua ubalozi Eritrea

6 Septemba 2018

Ethiopia imefungua ubalozi wake nchini Eritrea, baada ya miaka 20 ya uhasama baina ya mataifa hayo mawili ya Pembe ya Afrika. Je hii inatoa funzo gani kwa mataifa mengine ya Afrika?

https://p.dw.com/p/34RWl