1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Familia zinavyopambana na COVID-19 Bukavu, DRC

19 Mei 2020

Familia za mji wa Bukavu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika kupambana dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19. Mfano ni familia yatima ya Pascaline Vumilia, ndani ya kata ya Nyalukemba.

https://p.dw.com/p/3cTyn