Fununu za kukamatwa kwa mkuu wa zamani wa waasi wa CNDP nchini DRC
4 Aprili 2012Matangazo
. Ripoti kutoka huko zinadokeza kuwa fununu kuhusu kukamatwa kwa Brigedia Jenerali Bosco Taganda, mkuu wa zamani wa waasi wa CNDP, ndiko kunasababisha hali hiyo ya wasiwasi. Taganda anatafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kutokana na makosa anayoshukiwa kuyatenda katika mkoa wa Ituri. John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka mjini Beni.
(Kusikiliza ripoti hii tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Mohammed Khelef