HistoriaAfrikaGobena Dache: Jenerali wa Menelik II wa EthiopiaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoHistoriaAfrikaYusra Buwayhid22.02.202122 Februari 2021Gobena Dache alikuwa ni jenerali wa kijeshi aliyemsaidia Mfalme Mkuu wa Ethiopia Menelik wa Pili kukamata maeneo makubwa ya kusini ya kuyaunganisha nchi chini ya utawala mmoja. Lakini uongozi wa jenerali huyo haukumfurahisha kila mtu. https://p.dw.com/p/3phiNMatangazo