1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Guterres azuru Somalia, aomba msaada zaidi

12 Aprili 2023

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitembelea Somalia akiwa na hoja mbili kubwa. Kwanza ni kuonyesha mshikamano na mataifa ya Kiislamu yaliyo katika mfungo wa Ramadhan, lakini pia kuihimiza jumuiya ya kimataifa kulisaidia taifa hilo lenye changamoto mbalimbali. Tizama video hii. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4PxaE