1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za Watoto – Kipindi 06 – Huduma za Afya

22 Machi 2011

Kila mtoto anapaswa kupewa fursa ya kuishi maisha ya kuheshimika. Kipindi hiki kinahusu Noma, ugonjwa ambao kwa kiwango kikubwa humzuia mtoto kuwa na maisha mazuri – na ingawa unaweza kuzuiliwa kiurahisi. Tega sikio!

https://p.dw.com/p/QquY