Hali ni tete Burundi baada ya mashambulio la maguruneti mwishoni mwa juma
14 Juni 2010Matangazo
Nchini Burundi bado kuna halai ya wasi wasi kufuatia mashambulio ya mwishoni mwa wiki ambapo mtu mmoja aliuawa na wengine saba kujeruhiwa.
Mashambulio hayo ya guruneti yalitokea katika maeneo mbalimbali katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura, na ni katika wakati ambapo uchaguzi wa rais ukikaribia.
Kutoka Bujumbura Hamida Issa ametutumia taarifa ifuatayo
Mwandishi:Hamida Issa
Mhariri:Liongo