1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya afya ya Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar -Seif Sharif Hamad

8 Machi 2010

<p>Kuna hali ya wasiwasi ambayo imejitokeza kufuatia taarifa za kuugua katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani, CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye hivi sasa amelazwa katika hospitali moja jini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/MN1d
Ili kupata kujua ukweli kuhusu hali ya Maalim Seif, Josephat Chato amezungumza na Salim Bimani, katibu mwenezi wa chama cha CUF Zanzibar ambaye kwanza alikuwa na haya ya kusema.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji