You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Onyo la baridi kali latolewa kwa watu milioni 200 Marekani
Zaidi ya watu milioni 200 nchini Marekani wametahadharishwa kufuatia baridi kali.
Marekani yakumbwa na dhoruba kali zaidi ya baridi
Zaidi ya watu milioni 200, karibu asilimia 60 ya idadi ya watu wa Marekani wanakabiliwa na hali ya baridi kali.
Uingereza yahalalisha mpango wa kupelekwa wahamiaji Rwanda
Uamuzi huo wa Mahakama Kuu ya Uingereza wakosolewa.
Kutunza 30% ya mazingira asilia duniani si jambo rahisi
Lengo ni kunusuru aina nyingi ya spishi zilizo hatarini kutoweka, lakini linatosha kisayansi kuvilinda viumbe hai?
Mafuriko yaua watu 120 DRC
Matukio kama haya yamekuwa yakishuhudiwa mara kwa mara kutokana na mabadiliko ya tabianchi.
COP15: Bado hakujafikiwa mafanikio makubwa
Mada muhimu ni: Ufadhili wa mataifa yanayoendelea na ahadi ya kulinda asilimia 30 ya ardhi na bahari duniani kote.
COP15: Kampuni zatakiwa kutangaza madhara yao kwa mazingira
Kampuni na biashara zahimizwa kuweka wazi viwango vyao vya uharibifu na madhara kwa kwa mazingira.
Wanaharakati wataka miito yao kulinda bayoanuwai isikizwe
Mashirika yanahamasisha kuhusu haja ya kulinda bayoanuwai na yanataka miito yao isikizwe katika mkutano wa COP15.
Ujerumani na India kushirikiana kulinda mazingira
India ni taifa la pili kwa idadi ya watu ikitanguliwa na China inashika nafasi ya nne katika uzalishaji wa hewa ya ukaa.
Kutana na wanamazingira wa kesho nchini Rwanda
Ili kuongeza uhamasishaji kuhusuutunzaji mazingira Rwanda, shirika la uhifadhi wa viumbe limeanzisha mradi kwa watoto ambao ndio walinzi wa kesho wa pori katika eneo hilo. Mradi huo unawalenga wanafunzi wa shule za msingi, sekondari hadi vyuo vikuu. Vijana Mubashara inaangazia juhudi zao.
UN yaonya kuhusu vyombo vya majini kuharibu mazingira
Umoja wa mataifa watahadharisha kuwa gesi ya Carbon inayochafua mazingira inayotoka kwenye vyombo vya majini inaongezeka
Mvua yauwa 16 DRC
Watu 16 wamepoteza maisha katika mji wenye migodi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa.
COP27 - Afrika iko peke yake
Tatu Karema
Mazungumzo ya COP27 ni ukumbusho kwamba Afrika iko peke yake linapokuja suala la mabadiliko ya tabianchi.
Je Unajua namna hali ya hewa inavyoathiri afya yako?
Najua wengi mnasikia kuhusu mabadiliko ya tabianchi, lakini je, unajua ni kwa kiasi gani mabadiliko haya yanaathiri afya yako? Msikilize maatalamu wetu akizungumzia hili. #KurunziAfya
Wajumbe wa COP27 wakubaliana kuzisaidia nchi maskini
Wajumbe katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wa COP27 wamekubaliana kuzisaidia nchi masikini.
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 20.11.2022
Makubaliano ya mwisho katika Mkutano wa COP 27 bado hayajafikiwa. Jeshi la Rwanda lamuua mwanajeshi wa Kongo aliyevuka mpaka. Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak afanya ziara mjini Kiev.
COP27: Mkutano wa kilele kuhusu hali ya hewa wamalizika
Nchi za Umoja wa Ulaya zaashiria utayari wa kufikia maelewano kuhusu ufadhili kwa nchi zilizo hatarini.
Mtu na Mazingira
Katika kipindi hiki leo, tunaangazia changamoto katika msitu wa Rondo. Jiunge na Salma Mkalibala akusimulie athari ya mabadiliko ya Tabia nchi.
COP27: Guterres atoa wito wa kufikia makubaliano
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kufikia makubaliano kabla ya kumalizika mkutano huo.
Juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Mtwara
Wanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Mtwara Ufundi wamebuni mradi wa kilimo cha Bustani Hai ambao una uwezo wa kukabiliana na uchafuzi wa hali ya hewa kinachotumia mifuko aina ya viroba vinavyozalishwa viwandani, mbolea za asili zinazotokana na mabaki ya mimea na mkojo wa sungura ili kuzuia wadudu katika kilimo hicho. #Kurunzi
Mkutano wa Mazingira COP 27 waelekea ukingoni
Mkutano huo wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira, maarufu kama COP27 unafanyika nchini Misri.
COP27: Kiwango cha uzalishaji gesi chafu kiko juu kabisa
Hayo yamo kwenye ripoti ya wanasayansi wa Umoja wa Mataifa kwenye mkutano wa COP27 mjini Sharm Al Sheikh, Misri.
COP27: Nishati mbadala kusaidia hali ya hewa, usalama
Wataalamu wa mazingira wamesema vita vya Urusi nchini Ukraine vimelazimisha mzozo wa muda mfupi wa nishati ya mafuta.
COP27: Ukataji miti waongezeka Bonde la Kongo
Wataalamu wa mazingira wamesema ukataji miti katika msitu mkubwa wa Bonde la Kongo umeongezeka kwa asilimia tano 2021.
COP27: Viongozi kuzungumzia ongezeko la joto duniani
Viongozi wa dunia kuwasilisha mapendekezo ya hatua zinazopaswa kuchukuliwa kukabiliana na ongezeko la joto duniani.
Mkutano wa COP27 waanza kwa onyo Misri
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua zinahitajika kulinda mazingira.
Mtu na Mazingira - Athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Makala ya Mtu na Mazingira inangazia athari za Mabadiliko ya Tabianchi. Mtayarishaji ni Bakari Ubena.
Baada ya miaka sita mkutano wa mazingira warejea Afrika
Mkutano wa kilele wa tabianchi chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Mataifa unafanyika tena barani Afrika
Athari kubwa ya mafuriko Chad
Athari kubwa ya mafuriko Chad
Mvua ya mabao Allianz Arena
Serge Gnabry, Leroy Sane, Sadio Mane, Eric Maxim Choupo Moting na Marcel Sabitzer ndio wachezaji watano wa Bayern Munich
Matangazo ya Asubuhi: 17.10.2022
Idadi ya wanyama pori ulimwenguni kote yapungua kwa 69%
idadi ya wanyama pori ulimwenguni kote imepungua kwa theluthi mbili tangu mwaka 1970.
Matangazo ya Asubuhi: 09.10.2022
Kenya: Nguo zilizowekewa chaji ya simu kutumia miale ya jua
Simu za rununu nchini Kenya zimebuni fursa mbalimbali kwa watoa huduma mbalimbali zinakonazo na simu. Ruuj Caflon, mhitimui wa chuo kikuu, ni mmoja wao. Anatengeneza nguo ambazo zinaweza kuchaji simu na kutoa nuru. Tizama juhudi za kijana huyo mvumbuzi wa teknolojia kwenye video hii ya Kurunzi.
Miito ya ufadhili ili kudhibiti ongezeko la joto la dunia
Zaidi ya wajumbe wa nchi 50 wamekutana kabla ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi.
Mawaziri wa Mazingiza wa nchi 50 kukutana nchini DRCongo
Nchi tajiri zinatarajiwa kukabiliana na shinikizo la kuchangia zaidi katika kupambana na ongezeko la joto duniani.
Mtu na Mazingira: Ethiopia yashuhudia Ukame na Mafuriko
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia hali ya ukame na mafuriko yanayohusiana na mabadiliko ya tabianchi Ethiopia.
Ripoti ya Shirika la Oxfam yasema njaa yaongezeka kwa kasi
Shirika la misaada la Oxfam limetoa wito wa kutozwa ushuru mkubwa kwa makampuni yanayochafua mazingira.
Zelensky: Kipindi cha baridi Ulaya kitakuwa kigumu
Zelensky amesema Urusi inatayarisha pigo la kinishati dhidi ya nchi za Ulaya.
Mtu na Mazingira: Kenya na juhudi za kuongeza miti na misitu
Makala ya Mtu na Mazingira inamulika juhudi za kuiongeza idadi ya miti nchini Kenya na misitu kwa jumla.
Viongozi wa ulimwengu wamuomboleza Mikhail Gorbachev
Mikhail Gorbachev (91), kiongozi wa mwisho wa uliokuwa Umoja wa Kisovieti aliaga dunia usiku wa Jumanne mjini Moscow.
Tamasha la kuhimiza utunzaji wa mazingira, DRC
Vijana wapewe kipaumbele katika utunzaji wa misitu ambayo ni njia ya kulinda mazingira.
Dortmund na Köln waanza msimu vyema, Leipzig waguchia
Borussia Dortmund ambao walifanya sajili zao mapema na kudaiwa kwamba ni mojawapo ya timu zilizojipanga vyema msimu huu
Bayern waanza msimu kwa mguu mzuri
Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wamefunga jumla ya magoli 11 kufikia sasa katika mechi zao mbili zenye ushindani wal
Mnada wa vitalu DRC wakinzana na malengo ya hali ya hewa
Eneo hilo maarufu la msitu katika Bonde la Kongo lina jukumu muhimu katika mfumo wa hali ya hewa.
Congo kunadi haki za uchimbaji mafuta kwenye misitu ya mvua
Serikali ya Congo iliridhia kupigwa mnada vitalu hivyo mwezi Aprili baada ya kufanyika utafiti wa athari za kimazingira.
Mawimbi ya joto kali kuongezeka hadi miaka ya 2060-UN
Mawimbi ya joto kali yanatarajiwa kuwa matukio ya mara kwa mara kwa ngalau miongo minne ijayo-UN
Ulaya yakumbwa na joto kali huku Uingereza ikivunja rekodi
Idara za huduma za dharura zinaendelea kulemewa na kazi.
Mkutano wa kujadili mabadiliko ya tabianchi mjini Berlin
Mabadiliko ya Tabianchi ni tatizo kubwa la kiusalama
Joto laongozeka dhidi ya Boris Johnson
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson anakabiliwa na shinikizo la kumtaka ajiuzului na kuitisha uchaguzi wa mapema. Mchambuzi wa masuala ya siasa za kimataifa Ahmed Rajab akiwa mjini London amezungumza Rashid Chilumba kuhusu hali inayomkabili Johnson
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 27
Ukurasa unaofuatia