Hali ya utulivu yarejea DRC22.09.201622 Septemba 2016Kinshasa kumetulia baada ya siku kadhaa za maandamano na mauaji. Wapinzani wanataka Rais Kabila atangaze tarehe ya uchaguzi mkuu. Je, ujumbe umefika? Mchambuzi Paul Mahwera anatoa tathmini yake.https://p.dw.com/p/1K6W1Picha: Getty Images/AFP/J. D. KannahMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio