Harufu mbaya kinywani na namna ya kuiondoa
12 Agosti 2013Matangazo
Lakini nini hasa kinasababisha harufu mbaya mdomoni? Je, ni ugonjwa au ni kukosa usafi mdomoni? Amina Abubakar anaangazia mambo mengi zaidi juu ya swala zima la unadhifu wa kinywa na maradhi ya kunuka mdomo katika makala hii ya Afya Yako.
Makala: Harufu mbaya kinywani na namna ya kuiondoa
Mwandishi: Amina Abubakar
Mhariri: Mohammed Khelef