1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hasira inaweza kuathiri afya yako

Salma Mkalibala (HON)16 Januari 2017

Hasira inaweza kukusababishia mshtuko wa moyo na kiarusi. Sikiliza kipindi cha Afya Yako ujue namna ya kujikinga na hali hiyo.

https://p.dw.com/p/2VrTD