Raïs Joseph Kabila wa DRC ameteuwa kamanda mkuu wa kikosi maluum kitakacho husika na kuyarejesha makwao makundi ya wapiganaji wa kigeni yanayopatikana mashariki mwa nchi hiyo.
https://p.dw.com/p/EeE2
Matangazo
Hatua hiyo ikiwa itafanikiwa basi itasaidia kurejesha amani kwenye kanda nzima la maziwa makuu.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.