UtamaduniHistoria ya Tanzania katika maonyesho ya BerlinTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoUtamaduniSylvia Mwehozi04.12.20244 Desemba 2024Tanzania na Ujerumani zina historia ya muda mrefu na iliyojaa machungu hasa wakati wa ukoloni. Maonyesho kuhusu historia ya Tanzania yamefanyika mjini Berlin na kuhusisha mali zilizoporwa na Wajerumani. https://p.dw.com/p/4nj0rMatangazo