1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ifahamu kwa kina kabila ya Bajun.

29 Aprili 2021

Unaifahamu vipi kabila ya Bajun kutokea huko Lamu, pwani ya Kenya? Unazijua mila na desturi zao? Unajua asili yao? Basi kama hujajua mengi kuhusu kabila hii Ungana na Saumu Mwasimba kwenye makala ya utamaduni na sanaa kujielewesha zaidi.

https://p.dw.com/p/3sk8Q