1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IMF yaipa Tanzania mkopo wa dola bilioni moja

19 Julai 2022

Shirika la fedha duniani IMF limeipatia serikali ya Tanzania kiasi cha dola bilioni 1.046 kama mkopo kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya kiuchumi ikiwa ni matokeo ya vita vya Ukraine. Hawa Bihoga amezungumza na Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwanza alihoji serikali imejipanga vipi katika matumizi ya fedha hizo?

https://p.dw.com/p/4ELhy