1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Congo yajiandaa kwa uchaguzi mwaka 2018

Josephat Charo Nyiro / MMT25 Novemba 2017

Katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara, Josephat Charo anazungumzia hali ya kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya tume ya uchaguzi nchini humo CENI kutangaza kalenda mpya ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/2oFGH