Kutokana na shule pamoja na shughuli nyingine kufungwa kwasababu ya COVID 19, kando ya elimu watoto wameathiriwa pia kwa namna nyingi. Watoto hasa kutoka familia masikini wako kwenye hatari zaidi. Hapa Ujerumani, mashirika yanatoa wito kwa serikali kuongeza juhudi kuwasaidia watoto katika mgogoro huu