Katika Mbiu ya Mnyonge Sudi Mnette anaangazia kile ambacho wanaharakati wa haki za binaadamu na wadau wengine wa misaasda ya kiutu wanakiita janga kubwa, na moja kati ya mabaya kabisa ya kiutu dunia la ukimbizi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.