Uamuzi huo uliotolewa na mahakama ya juu nchini Kenya kuhusu mchakato wa BBI umeiongezea sifa mahakama ya Kenya kuwa ni chombo kinachofanya kazi bila kuingiliwa na taasisi nyingine za dola. Lakini ni kweli mahakama ya Kenya inasadifu kuitwa chombo huru? Rashid Chilumba amemuuliza Fatma Karume, wakili na mwanaharakati wa masuala ya sheria nchini Tanzania. Sikiliza!