JamiiKenyaJe, umeyatimiza malengo yako ya mwaka 2024?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiKenyaBabu Abdalla17.12.202417 Desemba 2024Hong’era kwa wote waliokamilisha malengo au baadhi ya malengo yaliyowaweka mwaka huu. Zimesalia takriban siku 14 kwa mwaka 2024 kukamilika. Je, umefanikiwa kwa kiasi gani kutimiza malengo na maazimio uliyoyaweka mwaka huu? https://p.dw.com/p/4oH14Matangazo