1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, unadhani vifaa vya kisasa vimepoteza ladha ya mziki?

16 Januari 2023

Kuna haja ya matumizi ya ngoma za asili kuendelezwa hata katika zama hizi za ukuaji wa sayansi na teknolojia. Modest Ludovick anayetengeneza ngoma za asili kwa zaidi ya miongo mitatu sasa anasema ni nadra sana kwa sasa kusikia ladha ya mdundo wa ngoma. Je, unadhani vifaa vya kisasa vimepoteza ladha ya mziki?

https://p.dw.com/p/4MFfo
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio