Miamba ya Nyero maarufu kama “Nyero rock paintings” ina michoro ya kale karne kadhaa za nyuma. Inaaminika kuwa zaidi ya miaka 3,000 iliyopita, jamii ya mbilikimo ya Batwa iliishi hapo na kuchonga michoro hii ili kuashiria hali yao ya maisha. Tizama video hii ya #DWKiswahili ilikufahamu mengi.