Jitahada za raia wa Msumbiji kusaidia wakimbizi Ujerumani
8 Desemba 2015
Raia wa Musumbiji anatumia miaka 30 ya uzoefu wake nchini Ujerumani kuwashauri wahamiaji na wakimbizi katika kituo cha kanisa la Kiprotestant mjini Suhl. Anawasaidia katika masuala ya kiofisi na masuala ya kawaida.
https://p.dw.com/p/1HJ5W
Matangazo
Jitahada za raia wa Msumbiji kusaidia wakimbizi Ujerumani