Lugha ya Kiswahili imeanea katika maeneo mengi ya dunia. Na hivi leo Kinagaubaga tumemualika Profesa Pacifique Malonga katika kufahamu juhudi za kukuza lugha hiyo nchini Rwanda. Profesa Malonga ni mhadhiri mstaafu wa vyuo vikuu nchini humo na anazungumza na Mohammed Khelef.