Ugonjwa wa saratani unaendelea kuathiri watu, jamii na mifumo ya afya kote ulimwenguni. Wagonjwa wa saratani wanakabiliwa na tishio la maambukizi ya virusi vya corona kutokana na kudhoofika kwa kinga mwilini mwao, hali inayosababishwa na saratani. Makala ya Afya yako inamulika ugonjwa huo na msimulizi ni Wakio Mbogho