You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Julius Malema
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Watano wauawa kwa risasi madini haramu Afrika Kusini
Watu watano wameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Johannesburg kwenye vurugu za wachimba madini haramu.
Je matumaini mapya yemechomoza Ethiopia?
Je, mkataba huu utadumu kwa muda mrefu? Je, ndio kusema matumaini mapya yameanza kuchomoza nchini Ethiopia?
Afrika Kusini: Rais anaepambana na watu wake
Imani na wafanyakazi na watu maskini kwa rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa inazidi kushuka kila mara.
Watu 443 wafa katika mafuriko ya Afrika Kusini
Mvua kubwa inayonyesha Afrika Kusini imewaua karibu watu 443 na wengine kadhaa bado hawajulikani waliko.
Askofu Desmond Tutu apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele
Kutokana na maambukizi ya corona hafla hiyo ya maziko ilihudhuriwa na watu 100 pekee.
Askofu Desmond Tutu kuzikwa Januari Mosi
Askofu Desmond Tutu aliyeaga dunia siku ya Jumapili atazikwa mnamo Januari Mosi.
Askofu Tutu afariki dunia
Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini, ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ameaga dunia akiwa na miaka 90.
Afrika Kusini kupeleka wanajeshi kuzima ghasia mitaani
Jeshi la Afrika Kusini limesema linapeleka wanajeshi katika majimbo mawili ilikukabiliana na ghasia.
Vurugu na uporaji waripotiwa kabla ya rufaa ya Jacob Zuma
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hakuna sababu ya kufanya vurugu kupinga hatua ya kufungwa kwa Zuma.
Binti wa Nelson Mandela afariki dunia mjini Johannesburg
Binti wa Nelson Mandela afariki dunia mjini Johannesberg
Afrika Kusini: Wabunge wa upinzani wavuruga hotuba ya rais
Malema na wenzake wazusha fujo bungeni kupenga kuwepo kwa F.W. De Klerk
Maoni: Vurugu Afrika Kusini zaharibu ndoto ya Afrika
Afrika Kusini imekubwa tena na vurugu za chuki dhidi ya wageni. Lakini makali yake yanaelekezwa kwa waliodhaifu zaidi.
Madereva wa kigeni mashakani Afrika Kusini
Chama cha madereva chasema kinatetea maslahi ya maderva wa Afrika Kusini
ANC kinaongoza matokeo ya uchaguzi licha ya kula hasara
ANC kinaongoza matokeo ya uchaguzi licha ya kula hasara
Malema avutia wapigakura kuchagua EFF
null
Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa rais mpya wa Afrika Kusini
Rais mpya Cyril Ramaposa asema ameupokea wadhfa huyo kwa unyenyekevu na ameahidi kuwatumikia Waafrika Kusini.
Wachimba mgodi 995 waliokwama Afrika Kusini waokolewa
Wachimba mgodi 995 waliokwama katika mgodi mmoja wa dhahabu nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya saa 24 waokolewa.
Mpango wa kugawa maji waanza Cape Town
Mji wa watalii wa Cape Town nchini Afrika Kusini umeanza operesheni ya kujiandaa na janga, Aprili 12, siku ambayo inakad
Cape Town: ANC chafanya kila liwezekenalo kuepuka mpasuko
Mchakato wa kumtafuta kiongozi atakayechukua nafasi ya rais Jacob Zuma kuanza mwezi huu
Grace Mugabe apata kinga na kurejea Zimbabwe
Waziri wa mambo ya kigeni wa Afrika Kusini alisaini tamko la kinga ya Kidiplomasia kwa Gace Mugabe siku ya Jumamosi.
Gari la Mandela lilishika moto, asema daktari wake
Mandela alifariki Desemba 2013 baada ya kuugua mambuzi ya mapafu kwa muda mrefu
Zuma ataka kumaliza migogoro ANC
Zuma ataachia uongozi wa ANC baada ya uchaguzi wandani mwishoni mwa mwaka huu.
Wanafunzi wataka vyuo vikuu vifungwe
Vyuo kadhaa tayari vimelazimika kuahirisha masomo kwa sababu ya maandamano ya wanafunzi wanaopigania usawa.
Zuma akanusha kutafautiana na waziri wake wa fedha
Rais Zuma anasema hana mgogoro wowote binafsi na waziri wake wa fedha, Pravin Gordhan, licha ya kuwepo mashaka baina yao
Afrika Kusini yakumbuka maandamano ya Soweto
Ni miaka 40 tangu mauaji yaliyofanywa na askari wa utawala wa makaburu katika kitongoji cha Soweto
Viongozi wa Afrika waujadili usalama wa kikanda
Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Afrika umekamilika mjini Johannesburg, ijapokuwa ulighubikwa na suala la mahakama nchini humo kutaka kukamatwa kwa Rais wa Sudan Omar al Bashir
Ghasia ndani ya bunge la Afrika Kusini, pigo kwa demokrasia
Demokrasia ni mhanga wa vurugu hizo
Zuma aibashiria ushindi ANC
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekibashiria ushindi chama tawala cha ANC katika uchaguzi wa Jumatano, na kuongeza kuwa ikiwa atachaguliwa tena, serikali yake itaboresha maisha ya watu maskini .
Bunge lamtafakari Mandela
Bunge la Afrika Kusini Jumatatu(09.12.2013) linakutana Cape Town kwa kikao maalum kwa heshima ya kumkumbuka shujaa wa uhuru wa nchi hiyo Nelson Mandela ambaye aliongoza nchi yake baada ya kifungo cha miaka 27 gerezani.
Katika kivuli cha Mandela: Tathmini ya ziara ya Obama Afrika
Taswira ya ziara ya rais Barack Obama barani Afrika ni ya nguvu. Kuanzia katika kisiwa cha watumwa cha Goree nchini Senegal, na baadaye katika gereza la Robben, lakini imegubikwa na afya ya Mandela.
Mandela bado yuko mahtuti
Nelson Mandela amekaa kwa siku ya pili hospitalini akiwa mahututi, huku hofu ikizidi kuwa shujaa huyo wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangu huenda akapoteza mapambano yake ya mwisho.
Mandela yuko taabani
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Nelson Mandela yuko katika hali mbaya sana hospitalini, lakini madaktari wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha hali yake inaimarika.
Clinton aendelea na ziara yake Afrika Kusini
Waziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Marekani, Hillary Clinton, ameuhutubia mkutano wa kilele wa kiuchumi kati ya Marekani na Afrika kusini mjini Johannesburg jana. (06.08.2012)
Malema atimuliwa rasmi ANC
Chama kinachotawala Afrika Kusini ANC kimemfukuza rasmi uanachama aliyekuwa kiongozi wa Umoja wa Vijana, Julius Malema baada ya kamati ya rufaa kutupilia mbali maombi yake.
Afrika Kusini: Ghasia mjini Johannesburg
Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimemfukuza chamani kiongozi wake mashuhuri wa vijana wa chama hicho, Julius Malema.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 1
Ukurasa unaofuatia