1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabila ashindwa kuzungumzia hatima yake ya kisiasa

Bruce Amani/Saleh Mwanamilongo30 Juni 2016

Akiwa analihutubia taifa kabla ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa nchi, Rais wa DRC Joseph Kabila amesema hakuna kitakachozuia kuandaliwa uchaguzi uliosubiriwa kwa muda mrefu huku kukiwa na hofu inayoongezeka ya uwezekano wa kucheleweshwa.

https://p.dw.com/p/1JGdl