1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabila ateua baraza la mawaziri

9 Mei 2017

Rais Joseph Kabila amepuuza matakwa ya wapinzani wanaomtuhumu kwa kukiuka makubaliano ya awali. Wengi wa watu 60 waliotangazwa katika nafasi za mawaziri na manaibu walikuwa katika mabaraza yaliyotangulia.

https://p.dw.com/p/2chPI
Rais wa DRC, Joseph Kabila
Picha: picture-alliance/dpa/M. Kappeler

mmt J2.10.05.2017 Interview DRC - MP3-Stereo