1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabila la Bambuti latishia kurudi msituni Kongo

Mitima Delachance 22 Agosti 2019

Mbiu ya Mnyonge inaangazia mgogoro unaorindima wa watu wa kabila la Bambuti wanaotishia kurudi msituni walikofukuzwa ikiwa hawatolipwa fidia na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

https://p.dw.com/p/3OL8L