1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabila: 'Sitabakia madarakani kwa nguvu'

15 Novemba 2016

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila, amesema hana mpango wa kung'ang'ania madaraka. Ameahidi kuwa uchaguzi mkuu utafanyika ndani ya miezi michache badala ya mwishoni mwa mwaka 2016.

https://p.dw.com/p/2Sjbr
Rais wa DRC Jospeh Kabila
Rais wa DRC Jospeh KabilaPicha: Reuters/T. Negeri

J3 15.11 Kongo: - MP3-Stereo