1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kambi ya wakimbizi Uganda yajenga vituo vya kuwasaidia watoto

14 Machi 2018

Shule za chekechekea na vituo vya watoto vimeanzishwa katika kambi ya wakimbizi ya Ofua Rhino, Uganda kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi wa Sudan Kusini kuweza kutengamana na wenzao.

https://p.dw.com/p/2uIZk