1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni za uchaguzi zaanza rasmi DRC

22 Novemba 2018

Kampeni za uchaguzi zimeanza rasmi leo Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Desemba, kumchagua mrithi atakaechukua nafasi ya Rais Joseph Kabila.

https://p.dw.com/p/38iOI