1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni zafikia ukingoni Ufaransa

5 Mei 2017

Ufaransa yaingia siku ya mwisho ya kampeni za urais, Baraza la Wawakilishi la Marekani laiondoa 'Obamacare' na kuweka mfumo mpya wa huduma za afya, huku Umoja wa Mataifa ukiitaka Ethiopia kuwaachia huru waandamanaji.

https://p.dw.com/p/2cTaQ