Manu Dibango na Aurlus Mabele, miamba ya muziki iliyosababisha kilio msibani. Wanamuziki hawa wamefariki dunia wakati ulimwengu ukiwa katika wakati mgumu wa janga la virusi vya corona. Zaidi msikilize Mwanamuziki wa Wenge Tonyatonya Adolphe Dominguez anavyowazungumzia magwji hao.