Katika kipindi cha Karibuni Sudi Mnette anakutambulishia mwanamuziki kutoka Tanzania Silas Hesbon. Kwenye sehemu ya Je Umeipata hiyo, utasikia namna ambavyo Korea Kaskazini inawashirikisha polisi katika kupambana na virusi vya corona. Utamjua pia nani msikilizaji wetu wa mwezi