1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilele cha Kongamano la Vyombo vya Habari mjini Bonn

18 Juni 2024

Kongamano la Kimataifa la Vyombo vya Habari linaloandaliwa kila mwaka na Deutsche Welle linamalizika leo hapa mjini Bonn, baada ya siku mbili za majadiliano juu ya namna ambavyo vyombo vya habari vinaweza kuchangiana masuluhisho kwa matatizo mbalimbali yanayojitokeza hivi sasa ulimwenguni.

https://p.dw.com/p/4hCmW
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio