Kinagaubaga: Goma na hatima yake
Matangazo
Huku hali ikizidi kuwa mbaya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, suala kubwa linaloulizwa na Kinagaubaga ni je, ni kweli jumuiya ya kimataifa na majirani wa Kongo hawana uwezo wa kuisaidia nchi hiyo? Mohammed Abdul-Rahman na Kinagaubaga.