1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Miaka 20 baada ya Kabila kuuwawa

Saleh Mwanamilongo19 Januari 2021

Katika Kinagaubaga Saleh Mwanamilongo anazungumza na Balozi Theodore Mugalu ambaye ni kiongozi mkuu wa familia ya Kabila, kuhusu miaka 20 baada ya mauaji ya Laurent Desire Kabila na kisha wahusika wa mauaji hayo kusamehewa.

https://p.dw.com/p/3o7C9