Kwenye makala ya Kinagaubaga hii leo mwenzetu Rashid Chilumba amezungumza na gavana wa jimbo la Maniema wakizungumza kwa kina kuhusiana na iwapo ahadi za rais huyo aliyepokea kijiti kutoka kwa Joseph Kabila zimetekelezwa ama la? Wasikilize kwa kuwa kuna mengi yaliyojadiliwa.