Nchini Rwanda taarifa zimesema mwandishi wa habari John Williams Ntwali amefariki dunia. Watu kadhaa maarufu wametumia mitandao ya kijamii kutuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwandishi huyo aliyefahamika sana kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki. lakini nini kilimpata mwandishi huyu na kusababisha mauti yake? Wenzetu Rashid Chilumba na Daniel Gakuba walizungumza juu ya kisa hiki.