Katika jitihada ya DW Kiswahili kuhakikisha unapata habari popote ulipo na hasa kupitia simu yako ya mkononi timu ya waandishi wa habari watano kutoka maeneo mbalimbali ya Kanda ya Maziwa Makuu ipo DW Bonn kwa ajili ya mafunzo ya kuripoti habari zenye ubora kwa teknolijia ya kisasa ya simu ya mkononi.