1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindi cha Karibuni 30.11.2019

27 Novemba 2019

Mafunzo ya mwezi mmoja ya uandishi wa habari wa kidijitali kwa waandishi watano wa habari wa Idhaa ya Kiswahili katika eneo la Kanda ya Maziwa Makuu yamekamilika mjini Bonn. Zaidi msikilize Thelma Mwadzaya na Hawa Bihoga katika kipindi cha Karibuni.

https://p.dw.com/p/3TpBO